sw_tn/jer/44/01.md

28 lines
528 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Tazama: uandishi wa shairi.
# Hili ndilo neno lililomjia Yeremia
"Huu ndio ujumbe ambao Bwana alimpa Yeremia"
# Mogdoli ... Tahpanesi ... Nofu ... Pathrosi
Haya ni majina ya miji.
# Ninyi wenyewe mmeona
Neni "wenyewe" limetumika kusisitiza kuwa ni watu wa Yuda wanaoishi katika nchi ya Misri.
# Tazama
"Sikiliza" au "kuwa makini" au "hakikisha unalielewa hili."
# walitenda ili kuniudhi
"watu wa Yerusalemu na miji yote ya Yuda walitenda ili kuniudhi"
# wao wenyewe
"watu wa miji iliyoharibiwa"