sw_tn/jer/44/01.md

528 B

Taarifa ya jumla:

Tazama: uandishi wa shairi.

Hili ndilo neno lililomjia Yeremia

"Huu ndio ujumbe ambao Bwana alimpa Yeremia"

Mogdoli ... Tahpanesi ... Nofu ... Pathrosi

Haya ni majina ya miji.

Ninyi wenyewe mmeona

Neni "wenyewe" limetumika kusisitiza kuwa ni watu wa Yuda wanaoishi katika nchi ya Misri.

Tazama

"Sikiliza" au "kuwa makini" au "hakikisha unalielewa hili."

walitenda ili kuniudhi

"watu wa Yerusalemu na miji yote ya Yuda walitenda ili kuniudhi"

wao wenyewe

"watu wa miji iliyoharibiwa"