# Taarifa ya jumla: Tazama: uandishi wa shairi. # Hili ndilo neno lililomjia Yeremia "Huu ndio ujumbe ambao Bwana alimpa Yeremia" # Mogdoli ... Tahpanesi ... Nofu ... Pathrosi Haya ni majina ya miji. # Ninyi wenyewe mmeona Neni "wenyewe" limetumika kusisitiza kuwa ni watu wa Yuda wanaoishi katika nchi ya Misri. # Tazama "Sikiliza" au "kuwa makini" au "hakikisha unalielewa hili." # walitenda ili kuniudhi "watu wa Yerusalemu na miji yote ya Yuda walitenda ili kuniudhi" # wao wenyewe "watu wa miji iliyoharibiwa"