sw_tn/jer/43/11.md

612 B

Taarifa ya jumla:

Bwana anaendelea kusema ujumbe wake.

atakuja

"Nebukadreza atakuja"

walioandikiwa kufa watakufa

"watakufa wote ambao nimeamua wafe"

walioandikiwa kwenda mateka watakwenda mateka

"Babeli watawachukua mateka wale wote nitakaoamua waende mateka"

Na aliyeandikiwa upanga atakufa kwa upanga

"Watakufa wote vitani ambao nimeamua wafe vitani"

Atasafisha nchi ya Misri kama ambavyo wachungaji wanavyosafisha nguo zao

"Atachukua kila kitu cha thamani toka Misri kama ambavyo mchungaji anavyotoa kwa makini wadudu kwenye nguo yake"

Heliopolisi

Hili ni jina la mji, "mji wa jua"