sw_tn/jer/43/11.md

28 lines
612 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Bwana anaendelea kusema ujumbe wake.
# atakuja
"Nebukadreza atakuja"
# walioandikiwa kufa watakufa
"watakufa wote ambao nimeamua wafe"
# walioandikiwa kwenda mateka watakwenda mateka
"Babeli watawachukua mateka wale wote nitakaoamua waende mateka"
# Na aliyeandikiwa upanga atakufa kwa upanga
"Watakufa wote vitani ambao nimeamua wafe vitani"
# Atasafisha nchi ya Misri kama ambavyo wachungaji wanavyosafisha nguo zao
"Atachukua kila kitu cha thamani toka Misri kama ambavyo mchungaji anavyotoa kwa makini wadudu kwenye nguo yake"
# Heliopolisi
Hili ni jina la mji, "mji wa jua"