# Taarifa ya jumla: Bwana anaendelea kusema ujumbe wake. # atakuja "Nebukadreza atakuja" # walioandikiwa kufa watakufa "watakufa wote ambao nimeamua wafe" # walioandikiwa kwenda mateka watakwenda mateka "Babeli watawachukua mateka wale wote nitakaoamua waende mateka" # Na aliyeandikiwa upanga atakufa kwa upanga "Watakufa wote vitani ambao nimeamua wafe vitani" # Atasafisha nchi ya Misri kama ambavyo wachungaji wanavyosafisha nguo zao "Atachukua kila kitu cha thamani toka Misri kama ambavyo mchungaji anavyotoa kwa makini wadudu kwenye nguo yake" # Heliopolisi Hili ni jina la mji, "mji wa jua"