sw_tn/jer/42/20.md

12 lines
218 B
Markdown

# tutachukua
"tutafanya"
# mmtakufa kwa upanga
Vita imeelezewa kwa kutumia silaha inayotumika katika mapigano. "Mtakufa vitani"
# sehemu ambayo mlitamani kwenda kuishi
"Misri ambapo mlifikiri kuwa mtakuwa salama"