# tutachukua "tutafanya" # mmtakufa kwa upanga Vita imeelezewa kwa kutumia silaha inayotumika katika mapigano. "Mtakufa vitani" # sehemu ambayo mlitamani kwenda kuishi "Misri ambapo mlifikiri kuwa mtakuwa salama"