sw_tn/jer/42/13.md

315 B

Ikiwa hamtaisikia sauti yangu, sauti ya Bwana Mungu wenu

Kutokutii ni sawa na kutosikia amri za Bwana.

ambapo hatutaona vita tena, ambapo hatutasikia sauti ya tarumbeta

Sentensi hizi zinaonesha kuwa vitani kwa uwezo wa kuona na kusikia.

hatutapata njaa

Kupata njaa ya chakula inaelezea uhaba wa chakula.