# Ikiwa hamtaisikia sauti yangu, sauti ya Bwana Mungu wenu Kutokutii ni sawa na kutosikia amri za Bwana. # ambapo hatutaona vita tena, ambapo hatutasikia sauti ya tarumbeta Sentensi hizi zinaonesha kuwa vitani kwa uwezo wa kuona na kusikia. # hatutapata njaa Kupata njaa ya chakula inaelezea uhaba wa chakula.