sw_tn/jer/42/13.md

12 lines
315 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ikiwa hamtaisikia sauti yangu, sauti ya Bwana Mungu wenu
Kutokutii ni sawa na kutosikia amri za Bwana.
# ambapo hatutaona vita tena, ambapo hatutasikia sauti ya tarumbeta
Sentensi hizi zinaonesha kuwa vitani kwa uwezo wa kuona na kusikia.
# hatutapata njaa
Kupata njaa ya chakula inaelezea uhaba wa chakula.