sw_tn/jer/42/11.md

8 lines
182 B
Markdown

# Kuwaokoa na kuwakomboa
"kuokoa" na "kuwakomboa" yana maana sawa kusisitiza kuwa Bwana atawakomboa.
# Kuwakomboa toka kwenye mkono wao
Hapa "mkono" inamaanisha nguvu na mamlaka.