# Kuwaokoa na kuwakomboa "kuokoa" na "kuwakomboa" yana maana sawa kusisitiza kuwa Bwana atawakomboa. # Kuwakomboa toka kwenye mkono wao Hapa "mkono" inamaanisha nguvu na mamlaka.