sw_tn/jer/42/11.md

182 B

Kuwaokoa na kuwakomboa

"kuokoa" na "kuwakomboa" yana maana sawa kusisitiza kuwa Bwana atawakomboa.

Kuwakomboa toka kwenye mkono wao

Hapa "mkono" inamaanisha nguvu na mamlaka.