sw_tn/jer/42/07.md

625 B

Neno la Bwana lilikuja

"Bwana anazungumza neno lake"

Watu wote kuanzia wadogo mpaka wakubwa

Hii inaonesha kuwa ni watu toka katika madaraja yote.

Nitapeleka maombi yenu mbele yake

"Nitawasilisha maombi yenu mbele yake"

Nitawajenga na sio kuwabomoa

Bwana anawafananisha wana wa Israeli kama ukuta unaoweza kujengwa au kubomolewa. "niwawastawisha na sio kuwaangamiza"

Nitawapanda na sio kuwang'oa

Bwana anatumia mfano huu kuonesha kuwa atawastawisha wana wa Israeli na sio kuwaharibu"

Nitaondoa maafa niliyoyaleta kwenu

Hapa Maafa yamezungumziwa kama kitu ambacho mtu anaweza kuweka juu ya mtu mwingine.