sw_tn/jer/42/07.md

24 lines
625 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Neno la Bwana lilikuja
"Bwana anazungumza neno lake"
# Watu wote kuanzia wadogo mpaka wakubwa
Hii inaonesha kuwa ni watu toka katika madaraja yote.
# Nitapeleka maombi yenu mbele yake
"Nitawasilisha maombi yenu mbele yake"
# Nitawajenga na sio kuwabomoa
Bwana anawafananisha wana wa Israeli kama ukuta unaoweza kujengwa au kubomolewa. "niwawastawisha na sio kuwaangamiza"
# Nitawapanda na sio kuwang'oa
Bwana anatumia mfano huu kuonesha kuwa atawastawisha wana wa Israeli na sio kuwaharibu"
# Nitaondoa maafa niliyoyaleta kwenu
Hapa Maafa yamezungumziwa kama kitu ambacho mtu anaweza kuweka juu ya mtu mwingine.