# Neno la Bwana lilikuja "Bwana anazungumza neno lake" # Watu wote kuanzia wadogo mpaka wakubwa Hii inaonesha kuwa ni watu toka katika madaraja yote. # Nitapeleka maombi yenu mbele yake "Nitawasilisha maombi yenu mbele yake" # Nitawajenga na sio kuwabomoa Bwana anawafananisha wana wa Israeli kama ukuta unaoweza kujengwa au kubomolewa. "niwawastawisha na sio kuwaangamiza" # Nitawapanda na sio kuwang'oa Bwana anatumia mfano huu kuonesha kuwa atawastawisha wana wa Israeli na sio kuwaharibu" # Nitaondoa maafa niliyoyaleta kwenu Hapa Maafa yamezungumziwa kama kitu ambacho mtu anaweza kuweka juu ya mtu mwingine.