sw_tn/jer/42/04.md

472 B

Tazama

"kuwa makini kwa kile ntakachokizungumza"

Sitabakiza chochote

"nitakwambia kilakitu ambacho Bwana ameniambia"

Kweli na aminifu

Maneno haya yana maana inayofanana katika muktadha huu. Yanamuelezea Bwana kama shahidi ambaye hakuna atakayeweza kumuingilia. "anayeaminika"

Ikiwa ni nzuri au mbaya

Watu wanasisitiza kuwa watatii jibu litakalotoka kwa Bwana. "jibu lolote"

Sauti ya Bwana Mungu wetu

Bwana anaelezewa kwa namna anavyowajibu maswali yao.