# Tazama "kuwa makini kwa kile ntakachokizungumza" # Sitabakiza chochote "nitakwambia kilakitu ambacho Bwana ameniambia" # Kweli na aminifu Maneno haya yana maana inayofanana katika muktadha huu. Yanamuelezea Bwana kama shahidi ambaye hakuna atakayeweza kumuingilia. "anayeaminika" # Ikiwa ni nzuri au mbaya Watu wanasisitiza kuwa watatii jibu litakalotoka kwa Bwana. "jibu lolote" # Sauti ya Bwana Mungu wetu Bwana anaelezewa kwa namna anavyowajibu maswali yao.