sw_tn/jer/40/15.md

610 B

Yohana ... Karea

Haya ni majina ya watu.

Kuongea na Gedalia pembeni

"kuongea na Gedalia kwa siri"

Gedalia

Hili ni jina la mtu.

Ishmaeli mwana wa Nethania

Haya ni majina ya watu.

Hakuna atakayenihisi mimi

"hakuna atakayejua"

Kwa nini akuue wewe

"usimruhusu akuue"

Kwa nini uruhusu Yuda wote

"Usiruhusu watu wengi wa Yuda"

Yuda wote waliokusanyika kwako

"watu wa Yuda waliokuja kwako"

kutawanyika

"kwenda mbali kwenye nchi tofauti"

Na waliosalia Yuda wataharibiwa

"na kuruhusu watu wa Yuda waharibiwe"

masalia wa Yuda

"waliosalia Yuda"

Ahikamu

Hili ni jina la mtu.