sw_tn/jer/40/15.md

48 lines
610 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yohana ... Karea
Haya ni majina ya watu.
# Kuongea na Gedalia pembeni
"kuongea na Gedalia kwa siri"
# Gedalia
Hili ni jina la mtu.
# Ishmaeli mwana wa Nethania
Haya ni majina ya watu.
# Hakuna atakayenihisi mimi
"hakuna atakayejua"
# Kwa nini akuue wewe
"usimruhusu akuue"
# Kwa nini uruhusu Yuda wote
"Usiruhusu watu wengi wa Yuda"
# Yuda wote waliokusanyika kwako
"watu wa Yuda waliokuja kwako"
# kutawanyika
"kwenda mbali kwenye nchi tofauti"
# Na waliosalia Yuda wataharibiwa
"na kuruhusu watu wa Yuda waharibiwe"
# masalia wa Yuda
"waliosalia Yuda"
# Ahikamu
Hili ni jina la mtu.