# Yohana ... Karea Haya ni majina ya watu. # Kuongea na Gedalia pembeni "kuongea na Gedalia kwa siri" # Gedalia Hili ni jina la mtu. # Ishmaeli mwana wa Nethania Haya ni majina ya watu. # Hakuna atakayenihisi mimi "hakuna atakayejua" # Kwa nini akuue wewe "usimruhusu akuue" # Kwa nini uruhusu Yuda wote "Usiruhusu watu wengi wa Yuda" # Yuda wote waliokusanyika kwako "watu wa Yuda waliokuja kwako" # kutawanyika "kwenda mbali kwenye nchi tofauti" # Na waliosalia Yuda wataharibiwa "na kuruhusu watu wa Yuda waharibiwe" # masalia wa Yuda "waliosalia Yuda" # Ahikamu Hili ni jina la mtu.