sw_tn/jer/40/07.md

237 B

Sasa

Hii inaonesha kuwa ni mwanzo wa simulizi.

wale ambao hawakwenda uhamishoni Babeli

"wale ambao maadui hawakuwapeleka Babeli"

Ishmaeli ... na Yezania

Haya ni majina ya watu.

mwana wa Mmaaka

Huyu ni mtu wa dini ya Maka.