sw_tn/jer/40/07.md

16 lines
237 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sasa
Hii inaonesha kuwa ni mwanzo wa simulizi.
# wale ambao hawakwenda uhamishoni Babeli
"wale ambao maadui hawakuwapeleka Babeli"
# Ishmaeli ... na Yezania
Haya ni majina ya watu.
# mwana wa Mmaaka
Huyu ni mtu wa dini ya Maka.