# Sasa Hii inaonesha kuwa ni mwanzo wa simulizi. # wale ambao hawakwenda uhamishoni Babeli "wale ambao maadui hawakuwapeleka Babeli" # Ishmaeli ... na Yezania Haya ni majina ya watu. # mwana wa Mmaaka Huyu ni mtu wa dini ya Maka.