sw_tn/jer/39/17.md

425 B

Taarifa ya jumla:

Bwana anaendelea kuongea na Yeremia.

Siku hiyo

Hii ni siku ambayo watu wa Babeli watabomoa ukuta wa Yerusalemu na kuuharibu mji.

Asema Bwana

"aliyoyasema Bwana"

Hamtatiwa katika mikono ya watu mnaowaogopa

"Watu mnaowaogopa hawatawadhuru"

Hamtaanguka kwa upanga

"hakuna atakayewaua kwa upanga"

Mtakimbia na kuponya maisha yenu ikiwa mtaniamini

"kwa sababu ya kuniamini mimi hamtauawa"