# Taarifa ya jumla: Bwana anaendelea kuongea na Yeremia. # Siku hiyo Hii ni siku ambayo watu wa Babeli watabomoa ukuta wa Yerusalemu na kuuharibu mji. # Asema Bwana "aliyoyasema Bwana" # Hamtatiwa katika mikono ya watu mnaowaogopa "Watu mnaowaogopa hawatawadhuru" # Hamtaanguka kwa upanga "hakuna atakayewaua kwa upanga" # Mtakimbia na kuponya maisha yenu ikiwa mtaniamini "kwa sababu ya kuniamini mimi hamtauawa"