sw_tn/jer/39/17.md

24 lines
425 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Bwana anaendelea kuongea na Yeremia.
# Siku hiyo
Hii ni siku ambayo watu wa Babeli watabomoa ukuta wa Yerusalemu na kuuharibu mji.
# Asema Bwana
"aliyoyasema Bwana"
# Hamtatiwa katika mikono ya watu mnaowaogopa
"Watu mnaowaogopa hawatawadhuru"
# Hamtaanguka kwa upanga
"hakuna atakayewaua kwa upanga"
# Mtakimbia na kuponya maisha yenu ikiwa mtaniamini
"kwa sababu ya kuniamini mimi hamtauawa"