sw_tn/jer/39/15.md

24 lines
502 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Simulizi hii ilitokea kabla ya matukio ya mwanzoni.
# Sasa
Hii inaonesha mwanzo wa simulizi.
# neno la Bwana lilimjia Yeremia ... akasema
"Bwana akazungumza na Yeremia. Akisema"
# Ebedi Meleki Mkushi
Ebedi Meleki mtu wa nchi ya Kushi.
# Ninakaribia kutimiza maneno yangu juu ya mji huu sio kwa kuangamiza na sio kwa wema
"nitaleta maafa juu ya mji huu kama nilivyosema kuwa nitafanya"
# Na yote yatakuwa kweli mbele yako siku hiyo
"kwa kuwa utayaona yakitokea siku hiyo"