# Taarifa ya jumla: Simulizi hii ilitokea kabla ya matukio ya mwanzoni. # Sasa Hii inaonesha mwanzo wa simulizi. # neno la Bwana lilimjia Yeremia ... akasema "Bwana akazungumza na Yeremia. Akisema" # Ebedi Meleki Mkushi Ebedi Meleki mtu wa nchi ya Kushi. # Ninakaribia kutimiza maneno yangu juu ya mji huu sio kwa kuangamiza na sio kwa wema "nitaleta maafa juu ya mji huu kama nilivyosema kuwa nitafanya" # Na yote yatakuwa kweli mbele yako siku hiyo "kwa kuwa utayaona yakitokea siku hiyo"