sw_tn/jer/39/15.md

502 B

Taarifa ya jumla:

Simulizi hii ilitokea kabla ya matukio ya mwanzoni.

Sasa

Hii inaonesha mwanzo wa simulizi.

neno la Bwana lilimjia Yeremia ... akasema

"Bwana akazungumza na Yeremia. Akisema"

Ebedi Meleki Mkushi

Ebedi Meleki mtu wa nchi ya Kushi.

Ninakaribia kutimiza maneno yangu juu ya mji huu sio kwa kuangamiza na sio kwa wema

"nitaleta maafa juu ya mji huu kama nilivyosema kuwa nitafanya"

Na yote yatakuwa kweli mbele yako siku hiyo

"kwa kuwa utayaona yakitokea siku hiyo"