sw_tn/jer/38/22.md

28 lines
724 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Yeremia anaendelea kuongea na mfalme Sedekia.
# Wanawake wote waliosalia ... watatolewa nje kwa wakuu wa mfalme wa Babeli
"askari watawatoa nje wanawake wote waliosalia ... nje kwa wakuu wa mfalme wa Babeli"
# Umedanganywa na rafiki zako
"Rafiki zako wamekudanganya"
# Miguu yako inazama katika matope
Hii inamaanisha kuwa mfalme yupo katika wakati mgumu.
# Kwa kuwa wake zako na watoto wako wateletwa nje kwa Wakaldayo
"Askari watawaleta wake zako na watoto wako nje kwa Wakaldayo"
# Hawatakimbia toka katika nchi yao
"hawatakimbia toka kwenye utawala wao"
# Utakamatwa kwa mkono wa mfalme wa Babeli, na mji huu utachomwa moto.
"Jeshi la mfalme wa Babeli litakukamata na kuuchoma moto mji.