sw_tn/jer/38/22.md

724 B

Taarifa ya Jumla:

Yeremia anaendelea kuongea na mfalme Sedekia.

Wanawake wote waliosalia ... watatolewa nje kwa wakuu wa mfalme wa Babeli

"askari watawatoa nje wanawake wote waliosalia ... nje kwa wakuu wa mfalme wa Babeli"

Umedanganywa na rafiki zako

"Rafiki zako wamekudanganya"

Miguu yako inazama katika matope

Hii inamaanisha kuwa mfalme yupo katika wakati mgumu.

Kwa kuwa wake zako na watoto wako wateletwa nje kwa Wakaldayo

"Askari watawaleta wake zako na watoto wako nje kwa Wakaldayo"

Hawatakimbia toka katika nchi yao

"hawatakimbia toka kwenye utawala wao"

Utakamatwa kwa mkono wa mfalme wa Babeli, na mji huu utachomwa moto.

"Jeshi la mfalme wa Babeli litakukamata na kuuchoma moto mji.