# Taarifa ya Jumla: Yeremia anaendelea kuongea na mfalme Sedekia. # Wanawake wote waliosalia ... watatolewa nje kwa wakuu wa mfalme wa Babeli "askari watawatoa nje wanawake wote waliosalia ... nje kwa wakuu wa mfalme wa Babeli" # Umedanganywa na rafiki zako "Rafiki zako wamekudanganya" # Miguu yako inazama katika matope Hii inamaanisha kuwa mfalme yupo katika wakati mgumu. # Kwa kuwa wake zako na watoto wako wateletwa nje kwa Wakaldayo "Askari watawaleta wake zako na watoto wako nje kwa Wakaldayo" # Hawatakimbia toka katika nchi yao "hawatakimbia toka kwenye utawala wao" # Utakamatwa kwa mkono wa mfalme wa Babeli, na mji huu utachomwa moto. "Jeshi la mfalme wa Babeli litakukamata na kuuchoma moto mji.