sw_tn/jer/38/17.md

276 B

Mungu wa Israeli

"Mungu wa wana wa Israeli"

Mji huu hautachomwa moto

"jeshi la Babeli halitachoma moto mji huu"

mji huu utatiwa mikononi mwa Wakaldayo

"Nitaruhusu Wakaldayo wauteke mji huu"

Hamtakimbia toka kwenye mikono yao

"hamtakimbia toka kwenye nguvu yao"