# Mungu wa Israeli "Mungu wa wana wa Israeli" # Mji huu hautachomwa moto "jeshi la Babeli halitachoma moto mji huu" # mji huu utatiwa mikononi mwa Wakaldayo "Nitaruhusu Wakaldayo wauteke mji huu" # Hamtakimbia toka kwenye mikono yao "hamtakimbia toka kwenye nguvu yao"