sw_tn/jer/38/14.md

16 lines
416 B
Markdown

# Ikiwa nitakujibu, je hautaniua?
Yeremia alitumia swali kuonesha uhakika wake kuwa mfalme atamuua endapo atasema ukweli.
# Kama Bwana aishivyo, yeye aliyetuumba
Mfalme alizungumza haya ili kuonesha kuwa anayokwenda kuyasema ni kweli.
# Mimi sita ... kutia katika mikono ya watu hawa
"mikono" inamaanisha nguvu ya kutawala. "Sitawaruhusu ... watu hawa kukukamata"
# wanatafuta maisha yako
"wanajaribu kukuua"