sw_tn/jer/38/14.md

416 B

Ikiwa nitakujibu, je hautaniua?

Yeremia alitumia swali kuonesha uhakika wake kuwa mfalme atamuua endapo atasema ukweli.

Kama Bwana aishivyo, yeye aliyetuumba

Mfalme alizungumza haya ili kuonesha kuwa anayokwenda kuyasema ni kweli.

Mimi sita ... kutia katika mikono ya watu hawa

"mikono" inamaanisha nguvu ya kutawala. "Sitawaruhusu ... watu hawa kukukamata"

wanatafuta maisha yako

"wanajaribu kukuua"