# Ikiwa nitakujibu, je hautaniua? Yeremia alitumia swali kuonesha uhakika wake kuwa mfalme atamuua endapo atasema ukweli. # Kama Bwana aishivyo, yeye aliyetuumba Mfalme alizungumza haya ili kuonesha kuwa anayokwenda kuyasema ni kweli. # Mimi sita ... kutia katika mikono ya watu hawa "mikono" inamaanisha nguvu ya kutawala. "Sitawaruhusu ... watu hawa kukukamata" # wanatafuta maisha yako "wanajaribu kukuua"