sw_tn/jer/38/07.md

374 B

Ebedi Meleki Mkushi

Hili ni jina la mtu kutoka Kushi.

Sasa mfalme

Neno "sasa" linasimamisha simulizi na mwandishi anatuelezea historia ya alichokua akikifanya mfalme.

Kukaa katika lango la Benyamini

Sedekia alikuwa akisikiliza na kuamua keshi za jinai.

Lango la Benyamini

Hili ni lango la kuingilia Yerusalemu ambapo watu waliliita Benyamini mwana wa Yakobo.