sw_tn/jer/38/07.md

16 lines
374 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ebedi Meleki Mkushi
Hili ni jina la mtu kutoka Kushi.
# Sasa mfalme
Neno "sasa" linasimamisha simulizi na mwandishi anatuelezea historia ya alichokua akikifanya mfalme.
# Kukaa katika lango la Benyamini
Sedekia alikuwa akisikiliza na kuamua keshi za jinai.
# Lango la Benyamini
Hili ni lango la kuingilia Yerusalemu ambapo watu waliliita Benyamini mwana wa Yakobo.