# Ebedi Meleki Mkushi Hili ni jina la mtu kutoka Kushi. # Sasa mfalme Neno "sasa" linasimamisha simulizi na mwandishi anatuelezea historia ya alichokua akikifanya mfalme. # Kukaa katika lango la Benyamini Sedekia alikuwa akisikiliza na kuamua keshi za jinai. # Lango la Benyamini Hili ni lango la kuingilia Yerusalemu ambapo watu waliliita Benyamini mwana wa Yakobo.