sw_tn/jer/38/06.md

8 lines
210 B
Markdown

# Mtupeni katika birika
Birika ni sehemu iliyochimbwa chini ya ardhi inayotumika kuhifadhia maji ya mvua.
# Wakamshusha chini Yeremia kwa kutumia kamba
Hii inaelleza namna walivyomtupa Yeremia katika shimo.