sw_tn/jer/38/06.md

210 B

Mtupeni katika birika

Birika ni sehemu iliyochimbwa chini ya ardhi inayotumika kuhifadhia maji ya mvua.

Wakamshusha chini Yeremia kwa kutumia kamba

Hii inaelleza namna walivyomtupa Yeremia katika shimo.