# Mtupeni katika birika Birika ni sehemu iliyochimbwa chini ya ardhi inayotumika kuhifadhia maji ya mvua. # Wakamshusha chini Yeremia kwa kutumia kamba Hii inaelleza namna walivyomtupa Yeremia katika shimo.