sw_tn/jer/38/01.md

20 lines
430 B
Markdown

# Shefatia ... Malkiya
Majina ya kwenye orodha hii ni majina ya wanaume.
# watauawa kwa upanga, njaa na tauni
"watakufa kwa upanga, njaa na tauni"
# Atakimbia kunusuru maisha yake
Waliojisalimisha Babeli watakimbia kuyanusuru maisha yao htakama watapoteza mali zao.
# Mji huu utatiwa mikononi mwa jeshi la mfalme wa Babeli
"nitaliruhusu jeshi la mfalme wa Babeli kuiteka Yerusalemu"
# ataikamata
"jeshi lake litaikamata"