# Shefatia ... Malkiya Majina ya kwenye orodha hii ni majina ya wanaume. # watauawa kwa upanga, njaa na tauni "watakufa kwa upanga, njaa na tauni" # Atakimbia kunusuru maisha yake Waliojisalimisha Babeli watakimbia kuyanusuru maisha yao htakama watapoteza mali zao. # Mji huu utatiwa mikononi mwa jeshi la mfalme wa Babeli "nitaliruhusu jeshi la mfalme wa Babeli kuiteka Yerusalemu" # ataikamata "jeshi lake litaikamata"