sw_tn/jer/38/01.md

430 B

Shefatia ... Malkiya

Majina ya kwenye orodha hii ni majina ya wanaume.

watauawa kwa upanga, njaa na tauni

"watakufa kwa upanga, njaa na tauni"

Atakimbia kunusuru maisha yake

Waliojisalimisha Babeli watakimbia kuyanusuru maisha yao htakama watapoteza mali zao.

Mji huu utatiwa mikononi mwa jeshi la mfalme wa Babeli

"nitaliruhusu jeshi la mfalme wa Babeli kuiteka Yerusalemu"

ataikamata

"jeshi lake litaikamata"