sw_tn/jer/37/16.md

20 lines
346 B
Markdown

# Yeremia aliwekwa katika gereza la chini
"wakuu walimuweka Yeremia katika chumba kilichokuwa chini"
# wakamleta
"wakamleta Yeremia"
# nyumba yake
"nyumba ya kifalme ya mfalme Sedekia"
# utapewa
Maneno haya ni kwa ajili ya mfalme Sedekia na watu wake.
# Kutiwa katika mikono ya mfalme wa Babeli.
Tazama ulivyotafsiri katika sura ya 32:3