sw_tn/jer/37/16.md

346 B

Yeremia aliwekwa katika gereza la chini

"wakuu walimuweka Yeremia katika chumba kilichokuwa chini"

wakamleta

"wakamleta Yeremia"

nyumba yake

"nyumba ya kifalme ya mfalme Sedekia"

utapewa

Maneno haya ni kwa ajili ya mfalme Sedekia na watu wake.

Kutiwa katika mikono ya mfalme wa Babeli.

Tazama ulivyotafsiri katika sura ya 32:3